Breaking News

Aguero kuikosa Manchester Derby


Straika wa Manchester City Sergio Aguero ataukosa mtanange wa Manchester Derby tarehe 7 Desemba baada ya kuumia kwenye mechi iloyopita dhidi ya Chelsea siku ya Jumamosi, kocha Pep Guardiola amethibitisha .

No comments