Breaking News

Ramos aifikia rekodi ya Ronaldo UEFA

Sergio Ramos atimiza goli 13 za UEFA Champions League baada ya kufunga hapo jana kwenye usiku wa ulaya afikisha goli hizo ambazo ni goli sawa na aliyekua mchezaji  wa zamani wa Madrid Ronaldo de Lima kwenye mashindano ya UEFA Champions League.

No comments