Kinda wa Madrid ndiye mchezaji wa wiki UEFA
Mchezaji kinda raia wa Brasil na timu ya Real Madrid ya Hispania Rodrigo Silva ( Rodrigoes) ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa wiki, tuzo zinazotolewa na UEFA Champions League.
Rodrigo ashinda tuzo hii Baada ya kuifungia Madrid goli 3 na asist 1 katika ushindi wa goli 6-0 dhidi ya Galatasary Ya nchini Uturuki.
Rodrigo ashinda tuzo hii Baada ya kuifungia Madrid goli 3 na asist 1 katika ushindi wa goli 6-0 dhidi ya Galatasary Ya nchini Uturuki.
No comments