Baada ya michezo kadhaa hii leo kumalizika na raundi ya kumi na moja kutamatika huu ndio msimamo wa ligi kuu Tanzania bara VPL. Ndanda 0 - 1 Yanga KMC 1 - 2 Kagera sugar Azam 2 - 1 Biashara United.
No comments