Breaking News

Henry kutua ligi ya marekani

Gwiji wa soka Thierry Henry kupewa mikoba ya kuifundisha klabu ya Montreal Impact inayoshiriki ligi kuu ya marekani (MLS) kwa mkataba wa miaka miwili huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mkataba mrefu zaidi.

No comments