Breaking News

England mchezo wa 1000 wamshushia mtu kipigo kizito

England waibuka na ushindi mnono wa goli 6-0, mabao yaliyofungwa na Chamberlain, Huku Harry Kane akitupia hattrick, Rashford na moja la kujifunga.

 England wanafanikiwa kufuzu Euro 2020

No comments