Breaking News

Ronaldo apiga hattick ya 55

Ronaldo afikisha idadi ya goli 98 toka aanze kuchezea timu ya Taifa ya Ureno na pia jana hiyo hiyo amefanikiwa kufunga hatrick ya 55 katika maisha yake ya soka huku akimpita mpinzani wake Messi.

No comments