Vardy azidi kujikita kileleni mwa wavumania nyavu


Mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy ametupia goli mbili baada ya kuingia akitokea bench dhidi ya Aston Villa na kumfanya afikishe magoli 19 na kua kinala wa mabao katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).

No comments