Samatta na rekodi zake

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na Klabu ya Aston Villa, Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kufunga goli kwenye Fainali ya League Cup na amekuwa mchezaji wa tano kutoka Bara la Afrika kufunga kwenye Fainali ya League Cup, wachezaji wengine waliowahi kufanya hivyo ni Didier Drogba, Joseph-Désiré Job, Obafemi Martins na Yaya Touré.

No comments