Camp nou bila mashabiki Barcelona wakipepetana na Napoli

Klabu ya Barcelona imethibitisha kucheza mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya siku ya Jumatano ya wiki ijayo dhidi ya Napoli bila mashabiki katika dimba la Camp Nou kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona.

No comments