Breaking News

Zahera amwaga mboga

Mara baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kuachana na aliyekua kocha wao Mwinyi Zahera, Zahera afunguka baadhi ya mambo, jambo moja wapo amesema kuwa "niwe mkweli katika wachezaji wote wa Yanga mimi nimesajili wachezaji 7 pekee waliobaki wote wamesajiliwa na Mwenyekiti kwasababu mimi nilikuwa AFCON wakati huo naona watu wanaongea sana juu ya hili, mzigo wote wamenipa mimi lakini sio kweli" Mwinyi Zahera.

No comments