Breaking News

Unai yupo au nae anahesabiwa masaa tu.

Arsenal yashindwa kutamba mbele ya Vitoria baada ya kulazimishwa sare ya 1-1, bao la Arsenal likiwekwa kimiani na Mustafi. Matokeo haya yanazidi kuweka kocha Unai Emery sehemu mbaya ya yeye kufutwa kazi kwa muendelezo mbovu wa matokeo wanayozidi kuyapata Arsenal.

No comments