Samatta afunguka kuhusu historia anazoweka
Baada ya kufunga goli pekee kwenye mchezo dhidi ya Liverpool hapo jana na kushuhudia timu yake ya Genk ikifungwa kwa idadi ya magoli 2-1, Mbwana Ali Samatta asema ya kwamba yeye hachezi kwajili ya kutafuta historia bali historia humfuata na pia asema kuwa haogopi kucheza kwenye uwanja mkubwa na mashabiki wengi ndio hali iliyompelekea kujiamini na kufunga goli usiku wa jana.
No comments