Breaking News

Lukaku, Lukaku, tutawaambia nini watu?

Romelu lukaku anafunga tu kila kukicha FT | Bologna 1-2 Inter Milan
Soriano 59'⚽
Lukaku 75', 90+2' ⚽⚽ 

Romelu Lukaku ndiye mchezaji wa kwanza wa Inter Milan kufunga angalau mabao 9 katika mechi 11 za kwanza za Seria A ikiwa ni katika msimu wake wa kwanza. Kabla ya hapo aliyewahi kufanya hivo ni Ronaldo Nazario msimu wa 1997/98 (naye pia alifunga mabao 9 ) Romelu Lukaku kazaliwa tena; Michezo 10, Mabao 9.

No comments