Breaking News

Messi afunga goli lake la 500 kwa mguu wake wa kushoto pekee

Baada ya mechi kati ya Levante na Barcelona kumalizika kwa levante kuibuka na ushindi wa 3-1 bao pekee la Messi 38' (Pe) ⚽ ✍ limemfanya Messi kufikisha mabao 500 aliyoyafunga kwa mguu wa kushoto akiwa Barcelona.

No comments