Breaking News

Lewandowski gari imewaka!!

Achana na kipigo cha goli 5-1 walichopokea Bayern Munich kutoka kwa Eintracht Frankfurt, kuna mtu anaitwa Robert Lewandowski licha ya kufungwa yeye anfunga tu, eeh bhana eeh huyu mtu kashaweka kambani goli 20 kwenye michuano yote msimu huu na ndo kwanza hata nusu msimu hajamaliza.

No comments