Muda mwingine historia hujirudia
Muda mwingine historia hujirudia, baada ya muda mfupi uliopita Barcelona imeshuhudiwa ikipoteza kwa mabao 3 kwa 1, mabao yaliwekwa kambani na J. Campaign, Bojar Mayoral na N. Rodoja kwa upande wa Levante na Leo Messi kwa Barcelona.
Uwanja wa Levante unazidi kuwa mgumu kwa Barcelona kwa kufungwa mara ya pili mfululizo, msimu uliopita Levante alishinda kwa goli 5-4 na msimu huu pia akishinda kwa goli 3-1.
Uwanja wa Levante unazidi kuwa mgumu kwa Barcelona kwa kufungwa mara ya pili mfululizo, msimu uliopita Levante alishinda kwa goli 5-4 na msimu huu pia akishinda kwa goli 3-1.
No comments