Msimamo La Liga
Rea Madrid azidi kujikita kileleni kwa kumzidi Barcelona point 3 huku Barcelona yenyewe ikionekana kumfukuzia pole pole.
Celta nae anajivuta kutoka chini kujinusuru kushuka daraja huku RCD Espanyol akiwa kwenye hali mbaya ya kutaka kushuka daraja akiwa mkiani kwa point 18 pekee akilingana na RCD Mallorca wanaoshika nafasi ya 18 na C.D Leganes wanaoshika nafasi ya 19.

Post Comment
No comments