Messi apiga hatrick ya assist

Mshambuliaji wa Barcelona,
La Pulga usiku wa kuamkia leo ameweza kutengeneza nafasi tatu za magoli (assist), Barcelona ikiibuka na ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Real Betis.

No comments