Inter Milan yafanya comeback ya kufa mtu

What comeback !! Derby ya Milan

Inter Milan kutoka nyuma kwa goli 2 dhidi ya Ac Milan mpaka kumaliza mchezo kwa ushindi wa goli 4-2.

40: Inter 0-1 AC Milan
45: Inter 0-2 AC Milan
51: Inter 1-2 AC Milan
53: Inter 2-2 AC Milan
54: Inter 3-2 AC Milan
90+3: Inter 4-2 AC Milan

Inter sasa baada ya ushindi huu anaongoza ligi kwa idadi ya magoli huku akilingana point na Juventus anaeshika nafasi ya pili.

No comments