Lautaro Martinez aitamani Barcelona

Kwa mujibu wa daily mail, kuna uwezekano mkubwa wa kufeli kwa dili la mshambuliaji wa Inter Milan Lautaro Martinez kujiunga na Manchester United, dili ilo linaweza likafa kabisa baada ya nyota huyo wa Argentina kuonesha nia ya kujiunga na FC Barcelona.

Ikumbukwe hivi karibuni kabla ya Inter ilikataa dau la £94m kutoka kwa Manchester United ili kumuachia nyota huyo.

No comments