Klabu kubwa ulaya zimeonesha nia ya kuisaka saini ya Leo Messi

Baada ya kuwa na tetesi za kuhusiana na Leo Messi kuihama klabu ya FC Barcelona ifikapo dirisha la usajili la majira ya joto, Manchester United, Manchester City, Intermilan, Juventus na PSG wote wameonesha nia yakuhitaji saini yake.

No comments