Mkwasa asema kikosi chake kiko tayari kuivaa JKT Tanzania
"Baada ya mazoezi ya leo vijana wangu wako tayari kwa ajili ya mchezo. JKT Tanzania ni moja kati ya timu nzuri naamini utakuwa mchezo mzuri sana, vijana wapo tayari kimwili na kiakili kuwakabili wapinzani wetu na kuondoka na alama tatu hapo kesho".
Maneno ya kocha mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa "Master" kuelekea mchezo dhidi ya JKT Tanzania kesho Ijumaa katika dimba la Uhuru majira ya saa 10:00 jioni.
No comments