Mourinho awasisitizia mabosi wake, Harry Kane asiuzwe.
Inasemekana kocha mpya wa Spurs, Jose Mourinho ktk mazungumzo yake na Daniel Levy moja ya mambo aliyohitaji ni kuhakikisha Harry Kane hauzwi kwa gharama yoyote.
Harry Kane licha ya kuonekana kutoanza msimu vizuri ktk ligi, lakini ndiye anayeongoza kwa kufunga magoli mengi ktk michuano ya kuwania kufuzu EURO 2020 akiwa na timu ya taifa ya England.
🏴 Harry Kane (12)⠀
🇮🇱 Eran Zahavi (11)⠀
🇵🇹 Cristiano Ronaldo (11)⠀
🇷🇸 Aleksandar Mitrović (10)⠀
🇫🇮 Teemu Pukki (10).
No comments