Breaking News

Everton wageukia kwa David Moyes


Everton wanafikiria kumbadili kocha Marco Silva kabla ya mechi ya Jumapili dhidi ya Leicester City na nafasi yake kuchukuliwa na kocha David Moyes ambaye anapewa nafasi kubwa pamoja na kocha wa Bournemouth Eddie Howe ( Sky Sports ) 

Moyes anatajwa kurejea katika klabu ambayo aliwahi kuitumikia kwa miaka takribani 10 , na huenda akapewa dili la muda mfupi la kuiongoza Everton mpaka mwisho wa msimu . 

Howe ambaye aliwahi kuwa kwenye rada ya Everton hapo awali bado anakubalika na baadhi ya wajumbe katika Bodi ya Everton.

No comments