Villarreal waikazia Liverpool kwa Chukwueze


Villarreal wamekataa dau la Euro Milioni 35 kutoka Liverpool kwa ajili ya usajili wa winga wa kimataifa wa Nigeria Samuel Chukwueze ( Source: France Football ) 

No comments