Bayern yageukia kwa Firmino

Klabu ya Bayern Munich imesema iko tayari kumsajili mshambuliaji wa Brazil na Liverpool Robert Firmino kwa paundi milioni 75 majira ya kiangazi. Mkataba wake na Liverpool unatarajia kumalizika mwaka 2022.

Firmino (28) anatajwa kuwa mrithi sahii wa Lewandowski kwa uhodari wake wa kucheka na nyavu.

No comments