Madrid wakiweka wazi kikosi chao kitakachoivaa Barcelona
Kikosi cha Real Madrid:
Goalkeepers: Courtois, Areola and Toni Fuidias.
Walinzi: Carvajal, Militão, Ramos, Varane, Marcelo and Mendy.
Viungo: Kroos, Modric, Casemiro, Valverde and Isco.
Washambuliaji: Benzema, Bale, Lucas Vázquez, Mariano and Vinicius Jr.
Zidane amemjumuisha Mariano Diaz katika kikosi. Mariano anachukua nafasi ya Luka Jovic, ambae hatokuwa sehemu ya kikosi. James nae ataendela kuukosa mchezo huu kutokana na kua majeruhi.
No comments