Watford ameweza kumfunga paka kengere

Liverpool washindwa kufurukuta kwa vijana wa Nigel Pearson kwa kushindwa kupata ushindi wa 19 mfururizo.

Huku pia wakishindwa pia kuifikia rekodi ya Arsenal ya kumaliza msimu kwa kuchukua kombe huku wakiwa hawajapoteza mchezo katika michezo 38 waliyocheza msimu wa 2003-2004, Arsenal walishinda michezo 26 na kutoka sare michezo 12.

Full Time: Watford 3 - 0 Liverpool

No comments