Kilichomshinda Aussems Simba leo kimewezekana



Kocha wa Simba, Sven Vanderbroek amevunja mfupa uliomshinda mtangulizi wake, Patrick Aussems kufuatia ushindi wa penalti 3-2 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga, licha ya ushindani kwa timu zote, lakini Wekundu hao waliweza kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho.

No comments