Breaking News

Dybala aonesha kwanini mwalimu amemwinua kwenye benchi kuchukua nafasi ya Ronaldo

Sarri kaona mbali sana anamtoa Ronaldo anaingia Dybala na Dybala anafanikiwa kuiandikia bao la kuongoza Juventus dhidi ya Ac Milan.

Juventus 1 Milan 0
Dybala⚽ 77

No comments