Breaking News

Ronaldo hajafurahishwa kufanyiwa mabadiliko

Christiano Ronaldo katika mechi ya leo hakuwa kwenye kiwango kizuri hali iliyopelekea kufanyiwa mabadiliko na nafasi yake ikichukuliwa na Paulo Dybala.

Ronaldo amefanyiwa mabadiliko dakika ya 55 na pia alifanikiwa kupiga shuti moja tu lililolenga lango.

Ronaldo hajaonesha kufurahishwa baada ya mabadiliko hayo, hajampa mtu yeyote mkono na kukimbilia vyumba vya kubadilishia nguo moja kwa moja.

No comments