Breaking News

Liverpool nguvu zote kwa Traore

Klabu ya Liverpool imeanza kuiwania saini ya winga wa Wolves, Adama Traore baada ya kupoteza matumaini ya kumpata mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner ambaye ameripotiwa kuelekea kujiunga na Chelsea mwishoni mwa msimu huu.

No comments