Bayern yamuweka Alaba sokoni
Bayern Munich wapo tayari kumuuza beki wao David Alaba, mara baada dirisha la usajili litakapofunguliwa.
Mabingwa hao wa Bundesliga wanataka kumuuza beki huyo kabla ya kuwa mchezaji huru mwakani pale mkataba wake utakapokuwa umeisha.
Vilabu vingi barani Ulaya hasa katika ligi kuu tano bora Ulaya vinawinda saini ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Austria. Liverpool, Man City, Man United, PSG wote wamehusishwa kuiwania saini yake na Bayern wanataka dau la Pauni Milioni 45.

No comments