Manchester United watalazimika kulipa Pauni Milioni 80 kwa ajili ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji na nahodha wa Aston Villa, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 24, bila kujali kama klabu yake itabakia kushiriki Ligi Kuu (EPL) au itashuka daraja. (Source : Daily Mirror).
No comments