Breaking News

Liverpool yajitosa kwa Koulibaly

Klabu ya Liverpool ya nchini England imefanya mawasiliano na klabu ya Napoli kuhusu upatikanaji wa saini ya beki wa kati Kolidou Koulibaly mwenye umri wa miaka 28.
 (Source : TuttoSport)

No comments