Breaking News

PSG kumalizia mechi zake za klabu bingwa nje ya Ufaransa

Klabu ya PSG imethibitisha watacheza michezo yao iliyosalia ya klabu bingwa ulaya nje ya Ufaransa, hi ni baada ya serikali ya Ufaransa kutangaza kufuta michezo yote mpaka mwezi September (tisa).

No comments