Partey ageukiwa na vigogo wa Ujerumani
Bayern Munich wanataka kuwasilisha ofa rasmi katika klabu ya Atletico Madrid kwa ajili ya kupata saini ya kiungo Thomas Partey ili kuziba nafasi ya kiungo Javi Martinez ambaye amekuwa akikabiliwa na majeraha ya mara kwa mara .
Taarifa kutoka Ujerumani zinasema kwamba Mkurugenzi wa Michezo wa Bayern anatarajia kuwasiliana na wakala wa Partey mwishoni mwa wiki hii.
No comments