Breaking News

Juve & Madrid mpambano mkali kwa Pogba


Juventus inakaribia kuafikia makubaliano ya kumsaini Paul Pogba,27 kutoka klabu ya Manchester United na itajaribu kumtumia kiungo wa kati wa Ufaransa Adrien Rabiot, 25, ili kupunguza bei hiyo.
Lakini mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane bado ana matumaini ya kumsaini mchezaji huyo kutoka Manchester United.

No comments