Breaking News

Inter tayari kwa muendelezo wa ligi

Ripoti iliyotewa na klabu ya Inter Milan imethibitisha kuwa wachezaji wake na benchi la ufundi kwa ujumla wako salama dhidi ya Corona baada ya vipimo vilivyochukuliwa siku ya Ijumaa na vimerudi vikiwa Negative.

No comments