Sane apeleka kilio Man City


MANCHESTER ENGLAND. HAKUNA namna, Manchester City wapo tayari kumpiga bei winga wao Leroy Sane kwenda Bayern Munich kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya Mjerumani kugomea kusaini mkataba mpya wa kubaki Etihad.

No comments