Breaking News

Mbappe kwenye rada za Liverpool

Klabu ya Liverpool imelipotiwa kuhitaji saini ya mshambuliaji wa PSG, Klian Mbappe, ikiwa imewasilisha ofa ya dau la rekodi ya uhamisho wa £250 endapo tu klabu ya Real Madrid itakamilisha dili la kumsajili Sadio Mane.

No comments