Dybala, Corona haijamuacha salama


Nyota wa klabu ya Juventus na timu ya Taifa ya Argentina Paul Dybala amethibitisha kupima na kugundulika kuwa na Virusi vya Corona.

No comments