Liverpool wakomaa na Willian
Liverpool bado wapo kwenye mazungumzo na Chelsea kwa lengo la kuinasa saini ya winga wa klabu ya hiyo, Willian. kwa mujibu wa taarifa kutoka Marca.
Mkataba wa Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 31 na Chelsea unafikia tamati 30 Juni, mwaka huu hivyo atakuwa huru kusajiliwa na klabu yoyote mwishoni mwa msimu huu.

No comments