Breaking News

Everton na Manchester United katika battle ya Belotti

Klabu ya Everton wanahitaji saini ya mshambuliaji wa Torino, Andrea Belotti katika kipindi cha majira ya joto lakini wanakumbana na upinzani kutoka kwa Manchester United.

No comments