Breaking News

Corona yasitisha dili la Neymar Jr kutua Barcelona

Miamba ya soka nchini Hispania, Barcelona imejitoa katika mbio za kutaka saini ya mshambuliaji wa klabu ya PSG, Neymar Jr kutokana na athari za kiuchumi yaliyosababishwa na Corona.

No comments