Wakala wa mshambuliaji wa kimataifa wa Colombia na klabu ya Real Madrid James Rodriguez amethibitisha ya kua ameanza mazungumzo na klabu ya Manchester United kuangalia uwezekano wa mteja wake huyo kuamia katika viunga vya Old Trafford mwishoni mwa msimu huu.
No comments