Breaking News

ESPN yataja kikosi bora cha muda wote EPL


Hiki ndicho Kikosi bora cha muda wote katika Ligi Kuu ya Uingereza kwa mujibu wa Mark Ogden's kupitia ESPN huku kocha akiwa ni Sir Alex Ferguson;

GK: Peter Schmeichel
RB: Gary Naville
LB: Ashley Cole
CB: Rio Ferdinand
CB: John Terry
CDM: Roy Keane
CM: Patrick Vierra
CM: Frank Lampard
RF: Seegio Aguero
LF: Cristiano Ronaldo
ST: Allan Shearer

Wachezaji wa akiba :

Petr Cech, Trend Alexander-Arnold, Vincent Kompany, Paul Scholes, David Beckham, Eden Hazard, Thierry Henry.

No comments