Breaking News

Juventus wamgeukia Zidane


Mabingwa watetezi wa Serie A, Juventus wameripotiwa kuiwinda saini ya kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane kuchukua nafasi ya Maurizio Sarri kwa msimu wa 2020/2021 ( Le10 Sport ).

Zidane aliyewahi kukipiga katika jiji la Turin kwa miaka mitano ambapo alitwaa mataji mawili ya Serie A kabla ya kuhamia katika viunga vya Santiago Bernabeu 2001.

No comments