Breaking News

Achraf Hakimi kusalia Dortmund

Wakala wa Achraf Hakimi, Alejandro Camano asema kwamba, "Achraf Hakimi ni beki bora wa kulia kwa sasa ulimwenguni, yeye pamoja na Trent Alexander Arnold, Timu nyingi kubwa Ulaya zinamuhitaji, Real Madrid nao wanafikiria kumrudisha lakini chaguo letu kwa sasa ni kusalia Dortmund.

No comments